Wadau waipa Tanzania Dola za Marekani bilioni 2.7
Takribani Dola za Marekani bilioni 2.7 zimetolewa na wadau wa maendeleo kwa ajili ya kuisaidia Tanzania kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo. Kati ya fedha hizo, asilimia 51 ni misaada na asilimia 49 ni mikopo yenye masharti nafuu. Hayo yameeleza na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, David Concar katika mkutano wa Majadiliano ya Kimkakati kati ya…
