Tume ya madini kukusanya trilioni 1 kwa mwaka wa fedha 2024-2025
Tume ya Madini imesema katika mwaka wa fedha wa 2024-2025 inakusudia kukusanya maduhuli kiasi cha shilingi trilioni 1. Kaimu Katibu Mtendaji wa tume hiyo Ramadhan Lwama, amesema hayo jijini Dar es Salaam, Oktoba 24, 2024 katika Kikao Kazi baina ya Tume na Wahariri na Waandishi wa Hbaari, chini ya uratibu wa Ofisi ya Msajili wa…
