Naibu Waziri Mkuu Dkt. Biteko azitaka benki kutembelea wakulima
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amewataka wenye benki nchini kuwekeza zaidi kwa kuwafuta wakulima na wafugaji na kuwavutia kupata huduma za kibenki. Dkt. Biteko amesema hayo Agosti 12, 2024 wakati hafla ya uzinduzi wa tawi la Benki ya KCB wilayani Geita. “Watembeleeni wakulima, wakulima ni kundi kubwa ambalo benki nyingi…
