TTFL 2026 KUFUNGUA FURSA ZA BIASHARA TANZANIA,DUBAI
TTFL 2026 Kufungua Fursa za Biashara Tanzania na Dubai.Sekta ya usafirishaji na biashara nchini Tanzania inatarajiwa kupata msukumo mpya kufuatia maandalizi ya Kongamano kabambe la Kimataifa linalolenga kuunganisha masoko ya Afrika Mashariki na Mataifa ya Kiarabu. Taasisi ya Tanzania Freight Forwarders Representation in Dubai (TANFORD) imetangaza rasmi kuandaa kongamano la siku mbili litakalofanyika jijini Dubai,…
