Daraja la Tanzanite kuanza kutumika February Mosi
Daraja la Tanzanite(Salenda) limekamilika kwa asilimia 100 na litaanza kutumika rasmi kesho February Mosi, 2022. Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa amesema daraja hilo lenye urefu wa km 1.03 limegharimu kiasi cha Sh bilioni 243. Amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuhakikisha kuwa Tanzania inafunguka kwenye sekta ya miundombinu ili wananchi waweze kufanya…
