SIRI ZA JINA LENYE MVUTO WA KIBIASHARA
Siri za Jina lenye mvuto wa Kibiashara . Asha sio jina halisi alikuwa amekaa kwenye benchi la mbao nje ya ofisi ndogo aliyopanga Kariakoo, macho yake yakitazama mabango ya biashara yaliyokuwa yakipishana barabarani. Alikuwa tayari kuanza kampuni yake ya usambazaji wa bidhaa, alikuwa na mtaji mdogo alioukusanya kwa miaka mitatu, na alikuwa na wateja wawili…
