Wawekezaji waitwa fursa Madini ya Bati Kagera
Madini ya Bati (Tin) yameendelea kuwa na mchango kwenye maduhuli ya Serikali kupitia Sekta ya Madini mkoani Kagera huku watanzania wakitakiwa kuchangamkia fursa za uchimbaji wa madini hayo. Akizungumza katika mahojiano maalum, Kaimu Afisa Madini mkoa wa Kagera, Nobert Mkopi amesema, mkoani Kagera kuna fursa nyingi zikiwemo za huduma za maabara kuweza kufanyia uchunguzi wa…
