Screen Shot 2025 01 06 at 4.26.43 PM

Waziri ataka wawekezaji walindwe

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Prof Kitila Mkumbo ametoa maagizo kwa Kituo cha uwekezaji Tanzania (TIC) kuwalinda wawekezaji hususani wa ndani ya nchi ili wasikwame katika suala la uwekezaji huku akiwaasa pia kuwawezesha pale panapostahili ili kukuza sekta ya uwekezaji nchini. Prof Mkumbo ametoa maagizo hayo Januari 5, 2025 wakati alipotembelea…

Soma Zaidi
Screen Shot 2024 11 26 at 10.20.10 AM

Tanzania kuendelea kushirikiana na Japan

Serikali imesema kuwa itaendela kushirikiana na Japan huku ikitoa wito kwa kampuni za Japan kuja kuwekeza nchini katika maeneo mbalimbali katika sekta zenye maslahi ya nchi zote mbili ikiwa ni pamoja na kukuza uwekezaji binafsi. Wito huo umetolewa leo jijini Dodoma wakati wa Mkutano kati ya Naibu Katibu Mkuu Jenifa Christian Omolo kwa niaba ya…

Soma Zaidi
wwee

Tanzania ndio eneo maridhawa zaidi kwa utalii wa safari duniani

Hatimaye baada ya mchuano mkali Tanzania imeibuka kuwa eneo linaloongoza zaidi duniani kwa utalii wa safari (hasa za kuona wanyama wa porini) ikiyashinda mataifa mbalimbali duniani ikiwemo nchi za Afrika. Hii ni kwa mujibu wa Tuzo za Utalii Duniani (World Travel Awards) zilizotolewa usiku wa kuamkia Novemba 24, 2024 kisiwani Madeira, Ureno. Zikitambulika kuwa sawa…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2024 11 19 at 16.33.01 1

Tanzania, Uturuki kushirikiana kukuza utalii

Serikali ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania na Uturuki zimekubaliana kushirikiana kukuza Sekta ya Maliasili na Utalii lengo ikiwa ni kuongeza idadi ya watalii wanaotembelea nchi hizo mbili. Hayo yameelezwa Novemba 19,2024 wakati wa kikao kati ya Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Dkt. Pindi Chana na Balozi wa Uturuki nchini Tanzania, Dkt. Mehmet Gulluoglu…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2024 10 23 at 11.06.51 1

Rais Dkt. Mwinyi asisitiza fursa za kiuchumi na kuitangaza Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi amewasisitiza Mabalozi wa Nchi za Afrika wanaoziwakilisha nchi zao nchini Tanzania kuimarisha ushirikiano na fursa za kiuchumi pamoja na kuutangaza utalii wa Zanzibar kimataifa. Rais Dkt. Mwinyi ameyasema hayo Oktoba 21, 2024, alipozungumza na mabalozi waliotembelea Ikulu baada ya kumaliza ziara yao…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks