MAENEO YA KIUCHUMI YANAVYOWAINUA VIJANA
Maeneo ya kiuchumi yanavyowainua vijana,Katika kipindi cha sasa ambacho idadi ya vijana inaongezeka kwa kasi,suala la ajira na uwezeshaji wa kiuchumi limeendelea kuwa ajenda muhimu ya kitaifa. Uanzishwaji wa maeneo ya kiuchumi maalumu kwa vijana umeibuka kama mkakati madhubuti wa kukuza ajira, ubunifu na maendeleo jumuishi, huku ukiwawezesha vijana kushiriki kikamilifu katika uchumi wa nchi….
