SABASABA 2026 YAJA NA TASWIRA MPYA YA KIHISTORIA
Sabasaba 2026 yaja na taswira mpya ya Kihistoria.Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) imetangaza rasmi kuanza kwa safari ya kuelekea katika tukio kubwa zaidi la kibiashara Afrika Mashariki na Kati. Katika hatua ya kusisimua, TanTrade imefungua dirisha la usajili kwa wafanyabiashara wa ndani na nje ya nchi wanaotaka kushiriki katika Maonesho ya Sabasaba 2026,…
