Taasisi 50 kushiriki kongamano la biashara
Takribani Taasisi 50 zinatarajiwa kushiriki Kongamano la Biashara la Kimataifa lililoandaliwa na Jukwaa lijulikanalo kama ‘China Trade Week’ (CTW) na kuwahusisha wafanyabiashara mbalimbali wa ndani na nje ya nchi. Kongamano hilo litakalohusisha maonesho zaidi ya bidhaa 200, litafanyika Septemba 26 hadi 28 katika Ukumbi wa Diamond Jubilee. Bidhaa hizo ni pamoja na bidhaa za kielektroniki,…
