Kariakoo saa 24
Mara baada ya ujenzi wa soko la Kariakoo kukamilika biashara zinatarajiwa kufanyika kwa saa 24. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla ameeleza hayo Julai 18, 2022 alipokutana na watendaji na viongozi wa mkoa kuzungumzia kampeni yake ya kuiependezesha Dar es Salaam. Mkuu huyo wa mkoa amesema Dar es Salaam ni Jiji la…
