Rais Samia aita wawekezaji wa Oman
Rais Samia Suluhu Hassan amewaita wafanyabishara wa Oman kuja kuwekeza nchini huku akiwahakikishia mazingira mazuri ya biashara na uwepo wa nguvu kazi ya kutosha. Rais Samia ambae yupo nchini Oman kwa ziara yake ya kikazi ya siku tatu iliyoanza Juni 12, 2022 amesema zipo fursa tofauti ambazo wanaweza kuzitumia katika uwekezaji . Akizungumza June 13,…
