Tumieni bandari ya Dar es Salaam: Makalla
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla amefanya ziara ya kutembelea na kukagua ufanisi wa utendaji wa bandari ya Dar es salaam ambapo ameonyesha kuridhishwa na maboresho makubwa yaliyofanywa jambo lililowezesha kuongezeka kwa kasi ya utoaji mizigo. Katika ziara hiyo, RC Makalla amewahakikishia wananchi na wafanyabiashara ndani na nje ya nchi kuwa kazi…
