MAPINDUZI YA MIUNDOMBINU YANACHOCHEA BIASHARA
Mapinduzi ya miundombinu yanachochea biashara. Mabadiliko makubwa ya miundombinu yanaendelea kushika kasi katika Wilaya ya Karatu, mkoani Arusha. Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) imekuwa mstari wa mbele kuhakikisha kuwa mji huu, ambao ni lango kuu la utalii nchini Tanzania, unapata barabara zinazolingana na hadhi yake. Kupitia miradi ya TARURA Karatu, mji huo…
