Bei ya dizeli yazidi kupaa Tanzania
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura), imetangaza bei mpya za mafuta zitakazoanza kutumika Oktoba 4, 2023 huku bei ya dizeli ikizidi kupaa ikilinganishwa na mwezi Septemba. Taarifa ya Ewura inasema kwa mkoa wa Dar es Salaam lita ya petrol kwa bei ya rejareja ni Sh3,281, dizeli Sh3,448 na mafuta ya taa…
