TANROADS kuanza ujenzi daraja la Jangwani
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema Wizara kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) inatarajia kuanza kutekeleza mradi wa kimkakati wa Ujenzi wa Daraja la Jangwani. Bashungwa ameesema hayo Mei 29,2024 bungeni jijini Dodoma wakati wa kuwasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya wizara na taasisi zake kwa mwaka 2024/2025. Amesema mradi huo ni sehemu ya…
