MAPINDUZI YA UMEME KUSINI MIL.704 ZAWEKEZWA
Mapinduzi ya Umeme Kusini Mil.704 zawekezwa. Sekta ya nishati nchini Tanzania inaendelea kushuhudia mapinduzi makubwa, safari hii msisitizo ukiwa katika kanda ya Kusini. Katika hatua ya hivi karibuni inayolenga kumaliza kero ya muda mrefu ya kukatika kwa nishati, Serikali Tanzania imewekeza kiasi cha Shilingi milioni 704 kwa ajili ya kufunga transfoma ya ziada katika kituo…
