Bei ya makopo yashuka
Bei ya chupa za plastiki imeshuka kutoka Tsh 500 kwa kilo hadi Tsh 250. Hiyo ni kutokana na wanunuzi wakubwa ambao ni raia wa China kufunga viwanda wakati wa msimu wa sikukuu. Mnunuzi wa makopo wa eneo la kimara anasema “wachina wamesafiri kwenda China kwa ajili ya sikukuu za mwisho wa mwaka hivyo wanunuzi wamekuwa…
