Rais Samia azindua mwongozo fursa za biashara Marekani
Katika kuendelea kukuza biashara na kutangaza biashara kimataifa, Rais Samia Suluhu Hassan amezindua mwongozo wa fursa za biashara na uwekezaji wakati wa Mkutano na Wanachama wa Chemba ya Biashara ya Marekani. Mkutano huo, umefanyika Washington DC nchini Marekani. Mwongozo huo uliandaliwa na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) kwa kushirikiana na Chemba ya Biashara…
