Ndege tano kuwasili mwaka huu
Ndege mpya tano zilizonunuliwa na serikali zinatarajiwa kuwasili nchini mwaka huu 2023, ili kuendelea kuimarisha zaidi Shirika la Ndege (ATCL). Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amebainisha hayo jijini Dodoma, akizungumza na waandishi wa habari. Msigwa amesema Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan, imedhamiria kuimarisha shirika hilo la ndege na…
