MADE IN TANZANIA YAFUNGUA MASOKO MAPYA PWANI
Made in Tanzania yafungua masoko mapya pwani. Katika ulimwengu wa sasa wa biashara imegubikwa na ushindani mkali, utambulisho wa bidhaa ni kila kitu. Kwa mzalishaji yeyote wa Kitanzania anayelenga si tu kuuza bidhaa bali kujenga himaya ya kibiashara inayovuka mipaka, rajamu ya Made in Tanzania ndiyo ufunguo mkuu. Leo Mkoa wa Pwani umekuwa kitovu cha…
