Screen Shot 2025 03 06 at 5.10.40 PM

Rais Dkt. Mwinyi ahimiza wanawake kugombea nafasi za uongozi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi amewahimiza wanawake kujitokeza kwa wingi kugombea nafasi za uongozi muda utakapowadia. Rais Dkt. Mwinyi ametoa rai hiyo Machi 06, 2025 katika Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliofanyika Viwanja vya Maonesho Dimani, Mkoa wa Mjini Magharibi. Rais Dkt. Mwinyi amesema Serikali ya…

Soma Zaidi
Screen Shot 2025 03 06 at 3.47.11 PM

Tanzania yaonesha fursa za uwekezaji sekta ya utalii nchini Ujerumani

Wizara ya Maliasili na utalii kupitia taasisi zake za Bodi ya Utalii Tanzania(TTB), Shirika la hifadhi za Taifa(TANAPA) na Mamlaka ya Uhifadhi wa Eneo la Ngorongoro(NCAA) imeendelea kutangaza fursa za uwekezaji katika sekta ya utalii nchini. Haya yamebainishwa na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Dunstan Kitandula alipotembelea banda la Maonesho la Tanzania katika Maonesho…

Soma Zaidi
Screen Shot 2025 03 06 at 4.42.48 PM

Watanzania kujengewa uwezo kwenye teknolojia  uchimbaji na uchenjuaji madini

Serikali ya Tanzania na Canada imepanga kuwajengea uwezo wataalamu na wachimbaji wa madini nchini Tanzania katika matumizi ya teknolojia ya kisasa ya uchimbaji na uchenjuaji madini. Hayo yameelezwa wakati wa mazungumzo baina ya  Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Canada Ahmed Hussein na Waziri wa Madini wa Tanzania Anthony Mavundeyaliyofanyika Machi 04, 2025 Toronto, Canada…

Soma Zaidi
Screen Shot 2025 03 03 at 11.46.54 AM

Rais Dkt. Samia kurudisha hadhi ya Tanga

Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema anataka kurudisha hadhi ya Tanga iwe Tanga yenye viwanda, Bandari kubwa lakini pia Tanga ya uvuvi. Rais Dkt. Samia amesema hayo wakati alipotembelea Bandari ya Tanga Machi 01, 2025. Rais Samia amesema “kwa muda mrefu wana Tanga na Watanzania tulitamani kuona manufaa zaidi kwa Bahari zetu na…

Soma Zaidi
Screen Shot 2025 03 03 at 10.59.05 AM

Kuifungua Kusini kiutalii ni kazi endelevu: CP. Wakulyamba

Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii inaendelea na jitihada za kuifungua Kusini kiutalii kwa kuboresha usimamizi wa Maliasili na kukuza Utalii kwenye vivutio hivyo adhimu na adimu duniani hali itakayoongeza kuvutia watalii zaidi na kuchangia pato la taifa. Hayo yamebainishwa na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii anayeshughulikia Maliasili, Kamishna wa Polisi…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks