Ni aibu kijana kukaa bila kazi : Rais Samia
Rais Samia Suluhu amesema Tanzania ina fursa nyingi za ajira lakini vijana wengi wanasubiri kuajiriwa wanapomaliza masomo. Rais Samia amesema hayo Januari 07, 2022 katika maadhimisho ya Kilele cha Matembezi ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar. “Vijana wengi tukimaliza kusoma tunasubiri ajira, lakini hatuhangaiki kutafuta fursa za kazi, kazi ziko nyingi sana Tanzania,…
