mtt

Vijana watakiwa kutumia teknolojia kukuza ubunifu

Kutokana na kukua kwa teknolojia, vijana wa Kitanzania wametakiwa kutumia fursa za kidigitali ili kuweza kukuza ubunifu na ujasiriamali na kupata masoko ndani na nje ya nchi. Mkurugenzi Mtendaji wa Sahara Venture, Jumanne Mtambalike ametoa wito huo kwa vijana katika Kongamano la ubunifu, teknolojia na ujasiriamali lililoandaliwa Sahara Ventures kwa kushirikana na wadau wengine wakiwemo…

Soma Zaidi
mmm

Vijana jitengezeeni ajira: Makinda

Spika mstaafu wa Bunge ambae pia ni Kamisaa wa Sensa Kitaifa, Anna Makinda amewataka vijana wasomi kujitengenezea uchumi wao binafsi. Makinda amewataka vijana kutumia fursa zilizoko kwenye maeneo wanayoishi badala ya kutegemea ajira kutoka serikalini au sekta binafsi. Makinda ametoa wito huo kwa vijana wakati akizungumza Oktoba 12 na Kamati ya sensa katika kikao cha…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2022 09 30 at 5.01.22 PM

Tanzania kukopeshwa bilioni 979

Tanzania imeahidiwa kupewa mkopo nafuu kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo kutoa katika mfuko wa Maendeleo wa Abu Dhabi wa Umoja wa Falme za Kiarabu. Miongoni mwa miradi itakayonufaika ni mradi wa umeme wa Benaco-Kyaka mkoani Kagera na ujenzi wa makazi ya watumishi ya gharama nafuu Zanzibar, inayokadiriwa kugharimu dola za Marekani milioni…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks