WhatsApp Image 2024 08 12 at 11.30.50

Serikali kuwa na hati fungani ya usalama wa chakula nchini: Rais Samia

Serikali inafanya mchakato katika kuwezesha Hatifungani ya Usalama wa Chakula ili kukuza Sekta ya Kilimo na kukuza mtaji wa kukopesha wakulima. Pia imelenga kuwezesha Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) katika nyanja zote za kiteknolojia, vifaa bora pamoja na kuongeza ukubwa wa maghala ya kuhifadhia nafaka ili iweze kununua na kuhifadhi chakula kwa…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2024 07 15 at 15.06.15

Rais Samia asisitiza kilimo biashara

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amezindua vihenge, maghala ya kisasa na msimu wa ununuzi wa nafaka wa mwaka 2024/2025 katika Mkoa wa Katavi. Wakati wa uzinduzi uliofanyika Julai 14, 2024 Rais Samia alisisitiza kuwa maghala haya ni kiashiria tosha kuwa kilimo cha sasa kinahitaji kubadilika na kuwa kilimo cha…

Soma Zaidi
sawaaa

Vyama vya Ushirika vijijini vyatakiwa kuomba uwakala kusambaza mbolea

Vyama vya Ushirika vijijini vimetakiwa kuendeleea kuomba uwakala wa kusambaza mbolea katika maeneo mbalimbali ili kuweza kuwafikia wakulima kwa wakati. Naibu Waziri wa Kilimo, David Silinde amesema wakati wa ufunguzi wa Siku ya Ushirika Duniani (SUD) katika viwanja vya Nanenane vilivyopo Ipuli, Mkoani Tabora Julai 01, 2024 ambapo amemwakilisha Waziri wa Kilimo. Husein Bashe. ”Msimu…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks