suluhu

Rais Samia atangaza mkakati bei ya mafuta

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassani ametangaza mkakati wa kubana matumizi ya Serikali katika bajeti ya matumizi ili kupata fedha za kupunguza makali ya ongezeko la bei ya mafuta nchini. Ongezeko hilo linalosababisha kuongezeka kwa bei za bidhaa na huduma mbalimbali. Katika taarifa ya Rais Samia kwa vyombo vya habari Mei 9, 2022 amesema Serikali…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2022 02 25 at 3.11.55 PM

Ngorongoro live Dubai

Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro inaonekana mubashara (live) kwenye maonesho ya utalii ya Exp2020 Dubai. Waziri wa Maliasili na Utallii, Dkt. Damas Ndumbaro amepongeza Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) kwa namna inavyotangaza vivutio vya Utalii kwa njia kidigitali kupitia Ngorongoro Live  Streaming  (Matangazo mubashara kutoka Ngorongoro). Amesema hali hiyo ya Ngorongoro Streaming Live kwenye…

Soma Zaidi
UTALII

Mapato utalii yaongezeka kwa 53%

Licha ya kuwepo kwa janga la Covid-19 ambalo limeathiri uchumi wa nchi nyingi duniani, mapato ya sekta ya utalii Tanzania yameongezeka kwa asilimia 53.7. Kwa mujibu wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), hadi kufikia November 30, 2021 mapato yameongezeka na kufikia dola za Marekani bilioni 1.32 kutoka dola milioni 861.8 mwaka 2020. Ongezeko hilo, limechangiwa…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks