Tanzania yaidhinishiwa mkopo wa Tsh trilioni 1.8
Tanzania imeidhinishiwa mkopo wenye masharti nafuu pamoja na msaada vyote vikiwa na thamani ya dola za Marekani milioni 775 sawa na Tsh trilioni 1.8. Fedha hizo pamoja na msaada kutoka Benki ya Dunia ni kwa ajili ya kusaidia utekelezaji wa bajeti, kuboresha uchumi na huduma za afya. Taarifa kutoka Wizara ya Fedha na Mipango inaonyesha…
