sawawa

TRA yakusanya Sh. trilioni 24.11

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekusanya Sh trilioni 24.11 sawa na ufanisi wa asilimia 97.4 ya lengo la kukusanya St trilioni 24.76 katiki kipindi cha mwaka wa fedha 2022/23. TRA imesema makusanyo hayo ni sawa na ongezeko la asilimia 8.2 ikilinganishwa na makusanyo ya kipindi kama hicho kwa mwaka wa fedha 2021/2022. Taarifa ya TRA…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2023 06 13 at 15.09.58

Tanzania kusaini mkataba ukaguzi miamala ya kimataifa

Serikali inatarajia kusaini mkataba ambao utaiwezesha Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kupata taarifa mbalimbali kutoka nchi 146 duniani ambazo zitasaidia katika kuongeza ufanisi wa ukaguzi wa miamala ya kimataifa. Hayo yamebainishwa Bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Hamad Hassan Chande, wakati akijibu swali la Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina, aliyetaka kujua…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks