Benki Kuu yashiriki mkutano wa taasisi za fedha Afrika (AFIS) 2024
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) inashiriki katika Kilele cha Mkutano wa Taasisi za Fedha Afrika 2024, maarufu kama AFIS, unaofanyika jijini Casablanca, Morocco, kuanzia tarehe 9 hadi 10 Desemba 2024. Mkutano huu ni jukwaa muhimu linalowakutanisha watunga sera za fedha na uchumi, taasisi za kifedha, na wawekezaji wa mataifa ya Afrika kujadili na kuendeleza mageuzi…
