Zoezi la kuondoa noti za zamani kuanza Januari 06, 2025
Zoezi la kuondoa noti za zamani kwenye mzunguko wa fedha linatarajiwa kuanza January 06, 2025 hadi Aprili 05, mwakani. Benki Kuu ya Tanzania (BoT), imeeleza hayo wakati wa kutoa elimu kwa waandishi wa habari nchini kufafanua kuhusu taarifa iliyotolewa hivi karibuni inayohusu zoezi la kuondoa noti hizo kwenye mzunguko. BoT imeeleza kuwa zoezi hilo litafanyika…
