Kuweka akiba iwe lazima kila unapopata fedha
Wananchi wametakiwa kubainisha matumizi yasiyo ya lazima na kuyaondoa na kufanya kuweka akiba kuwa ni sehemu ya lazima kila wanapopata fedha. Aidha, Afisa Mwandamizi Masoko na Mawasiliano kutoka Kampuni ya Uwekezaji ya UTT AMIS, ametoa wito kwenye semina zinatolewa na Wizara ya Fedha kupitia Idara ya Uendelezaji wa Sekta ya Fedha ilifanyika katika Ukumbi wa…
