ISO 21001:2018 DIT YALETA MAPINDUZI ELIMU YA UFUNDI
Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) imeweka historia mpya nchini Tanzania baada ya kufanikiwa kupata cheti cha viwango vya kimataifa cha ISO 21001:2018 DIT. Mafanikio haya siyo tu fahari kwa taasisi hiyo, bali ni kielelezo cha mabadiliko makubwa yanayotokea katika sekta ya elimu ya ufundi na teknolojia nchini chini ya uongozi wa Rais Samia…
