TANZANIA NA MAREKANI KUSHIRIKIANA SEKTA YA MADINI
Tanzania na Marekani kushirikiana sekta ya Madini.Katika hatua kubwa inayolenga kubadilisha mwelekeo wa uchumi wa viwanda nchini, juhudi za Tanzania na Marekani kuimarisha ushirikiano katika sekta ya madini zimeingia katika awamu mpya na ya kusisimua. Januari 21, 2026, jiji la Dodoma limekuwa kitovu cha mazungumzo muhimu yaliyolenga kuongeza tija, ajira, na mchango wa madini ya…
