MIKATABA YA BIL.63 TAWA YATOA MWELEKEO MPYA WA UTALII
Mikataba ya Bil.63 TAWA Yatoa Mwelekeo Mpya wa Utalii.Katika hatua inayotajwa kuwa ni mapinduzi makubwa ya kiuchumi na uhifadhi, Serikali kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) imeweka sahihi kwenye mikataba mitano ya kimkakati. Mikataba hii, yenye thamani ya zaidi ya Dola za Kimarekani milioni 24.9, imesainiwa na kampuni ya kizalendo ya GBP Trading…
