Dubai Expo kuzalisha ajira 200,000
Tanzania imetia saini hati za makubaliano (MoU) 36 katika mkutano wa biashara na uwekezaji uliofanyika Dubai, Februari 26, 2022. Hati hizo zinahusisha wizara mbalimbali, taasisi za umma, wawekezaji, sekta binafsi na makampuni mengine. Kati ya hati hizo 36, hati 12 ni baina ya serikali ya Tanzania kupitia Wizara na taasisi za umma na wawekezaji mbalimbali….
