TT

Japan kununua kilo milioni 30 za tumbaku

Kampuni ya Japan Tobacco Incorporation (JTI) imeahidi kununua kilo milioni 30 za tumbaku kutoka kwa wakulima wa Tanzania katika msimu ujao wa kilimo. Ahadi hiyo na Rais na Mtendaji Mkuu wa JTI, Bw. Masamichi Terabatake mbele ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aliyetembelea ofisi zao ili kuwahakikishia utekelezaji wa mazungumzo yaliyofanyika wakati wa mkutano wa TICAD…

Soma Zaidi
Usione aibu kufanya biashara ya halali inayokuingizia kipato umaskini ni aibu kubwa zaidi. 34

Taasisi 50 kushiriki kongamano la biashara

Takribani Taasisi 50 zinatarajiwa kushiriki Kongamano la Biashara la Kimataifa  lililoandaliwa na Jukwaa lijulikanalo kama ‘China Trade Week’ (CTW) na kuwahusisha wafanyabiashara mbalimbali wa ndani na nje ya nchi. Kongamano hilo litakalohusisha maonesho zaidi ya bidhaa 200, litafanyika  Septemba 26 hadi 28 katika Ukumbi wa Diamond Jubilee. Bidhaa hizo ni pamoja na bidhaa za kielektroniki,…

Soma Zaidi
social media

Mitandao ya kijamii na fursa kiuchumi

Matumizi ya mitandao ya kijamii yamekuwa sana kila kona duniani. Ni moja ya njia ya kupashana habari kwa kasi. Watu mbalimbali hususani vijana ndio kundi kubwa linalotumia mitandao hiyo ikiwemo Facebook, Twitter, Whatsapp, Youtube, Instagram na mingine mingi. Vijana wengi wamekuwa wakiitumia kufanya mijadala mbalimbali hususani siasa na mambo mengine. Ni wachache walioweza kuona fursa…

Soma Zaidi
ter

RC Dar amaliza sintofahamu Stendi ya Magufuli

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla ametangaza kuondoa katazo lililokuwa likizuia mabasi yaendayo mikoani na nje ya nchi kutoruhusiwa kupakia abiria au kushusha katika vituo binafsi. katazo hilo, lilitaka mabasi yote yashushe na kupakia abiria katika kituo Kikuu cha mabasi Magufuli, kilichopo Mbezi. Kwa sasa, RC Makalla ameruhusu utaratibu wa vituo binafsi…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks