AIRTEL DIVAS WAGUSA WATOTO YATIMA BUSWERU
Airtel Divas wagusa watoto yatima Busweru. Katika mwendelezo wa jitihada za kampuni kuhakikisha inarudisha fadhila kwa wateja wake na jamii inayozunguka, kundi la wafanyakazi wanawake wa Airtel Tanzania mkoani Mwanza, maarufu kama Airtel Divas, walifanya ziara ya kihistoria katika kituo cha watoto yatima kilichopo Busweru. Ziara hii si tu kwamba imewaletea watoto hao mahitaji ya…
