wew

Benki zatakiwa kupunguza riba

Benki mbalimbali nchini zimetakiwa kupunguza riba, ili kutoa fursa kwa wateja kukopa na kufanya uwekezaji kwenye maeneo mbalimbali. Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Felician Mtahengerwa ametoa rai hiyo jijini Arusha katika mkutano wa wadau wa Benki ya Maendeleo (TIB), Kanda ya Arusha. Mtahengerwa amesisitiza kuwa endapo benki zikipunguza riba katika mikopo, Watanzania wengi wataweza kukopa…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2023 06 13 at 10.28.58

Vijana wenye biashara changa kunolewa

Biashara changa za vijana 196 (startups) zimeingia katika hatua ya mafunzo kabla ya kupewa mitaji wezeshi kwa ajili ya kuendeleza biashara zao. Taasisi ya CRDB Bank Foundation imezindua kambi ya mafunzo (boot camp) kwa ajili ya vijana hao. Uzinduzi wa kambi hiyo umefanyika katika kituo maalum cha kuendeleza biashara changa kilichopo Makao Makuu ya zamani…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2022 06 21 at 4.37.08 PM

Benki ya NMB yapongezwa

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla ametoa wito kwa Benki ya NMB kuendelea kubuni huduma rafiki kwa makundi mbalimbali katika Jamii ili kuweza kuwafikia wateja wengi zaidi. RC Makalla ametoa wito huo wakati wa warsha kwa viongozi wa Serikali wa mkoa huo iliyolenga kueleza fursa mbalimbali zinazopatikana katika benki hiyo ikiwemo mikopo…

Soma Zaidi
nbc

Wanawake 200 wapata mafunzo ya biashara

Takribani wanawake 200 wamepata mafunzo ya biashara yaliyolenga kuwajengea uwezo. Mafunzo hayo yametolewa  na benki ya NBC kwa wafanyabiashara katika kipindi cha maonesho ya Viwanda kwa Wanawake wajasiriamali kwa mwaka 2022. Neema Rose Singo amabae ni Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa NBC amesema “tumetoa mafunzo kwa wanawake wafanyabiashara takribani 200, na tunaamini mafunzo haya…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks