Wizara kushirikiana kuwezesha wanawake kiuchumi
Wizara ya Maliasili na Utalii kwa kushirikiana na Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu zimepanga kushirikiana kimkakati ili kuwawezesha wanawake kiuchumi kupitia fursa mbalimbali zinazopatika kwenye sekta ya Maliasili na Utalii. Kauli hiyo imetolewa Machi 9, 2024 na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima…
