Uingereza yavutiwa na mkakati wa Tanzania kuongeza thamani madini nchini
Waziri wa Uingereza anayeshughulikia masuala ya Afrika Lord Collins amevutiwa na mpango wa nchi ya Tanzania kuandaa mkakati maalum wa uongezaji thamani madini nchini Tanzania na kuahidi kwamba Uingereza itatoa ushirikiano katika kusaidia eneo la uongezaji thamani madini hayo ndani ya nchi. Hayo yamesemwa wakati wa kikao kati ya Lord Collins na Waziri wa Madini…
