Screen Shot 2025 02 17 at 10.51.07 AM

Tanzania yatumia wiki ya nishati India kunadi vitalu vya mafuta na gesi asilia

Serikali kupitia Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli Tanzania (PURA) imeendelea  kuhamasisha wawekezaji mbalimbali duniani kushiriki katika Duru ya Tano ya Kunadi Vitalu vya utafutaji wa Mafuta na Gesi Asilia katika Bahari Kuu ya Hindi na Nchi Kavu itakayozinduliwa mwezi Machi, 2025. Matangazo ya fursa za uwekezaji kwenye Sekta ya Mafuta na Gesi…

Soma Zaidi
sawaqq

Asilimia 80 ya Watanzania kutumia nishati safi ya kupikia ifakapo 2034

Inategemewa kuwa baada ya miaka tisa kutoka sasa (2025), asilimia 80 ya Watanzania watakuwa wanatumia nishati safi ya kupikia. Hiyo, itakuwa ni matokeo ya utekelezaji wa Mkakati wa Nishati safi ya Kupikia kitaifa unaosimamiwa na Kamati ya wataalam iliyoundwa na Maafisa Waandamizi kutoka katika Wizara na Taasisi mbalimbali. Kamati hiyo imefanya kikao kazi katika Ofisi…

Soma Zaidi
Bei petrol, dizeli zashuka Tanzania pesatu.com

Bei ya mafuta yaongezeka mwezi Februari

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya Petroli hapa nchini zitakazotumika kuanzia leo Jumatano Februari 05, 2025 kwa rejareja na jumla. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, bei ya petroli kwa rejareja katika Jiji la Dar es Salaam imeongezeka kwa asilimia 0.957, dizeli kwa asilimia…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2023 11 24 at 15.33.34

Tanzania yaikaribisha kampuni za China kuwekeza Sekta ya Nishati

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa China nchini Tanzania, Chen Mingjian ambapo wamezungumza masuala mbalimbali ikiwemo uhusiano uliopo kati ya Tanzania na China na uwekezaji kwenye miradi ya Nishati. Mazungumzo hayo yamefanyika jijini Dar es Salaam Novemba 24, 2023 na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks