SERIKALI YATOA MATUMAINI JUU YA BEI YA MAFUTA
Serikali yatoa matumaini juu ya bei ya Mafuta. Katika kipindi ambacho uchumi wa dunia unayumba kutokana na migogoro ya kijiografia, suala la bei ya mafuta nchini Tanzania limebaki kuwa mada kuu kwenye meza za watanzania wengi. Kila mwananchi, kuanzia dereva wa daladala, mama lishe, hadi mfanyabiashara mkubwa, amekuwa akifuatilia kwa ukaribu mwenendo wa nishati hii…
