OMAN YAINGIA RASMI SEKTA YA MAFUTA NA GESI NCHINI
Oman yaingia rasmi sekta ya mafuta na Gesi nchini. Tanzania imekuwa ikipiga hatua kubwa katika ramani ya nishati duniani. Katika mwendelezo wa jitihada hizo, leo tarehe 17 Februari 2026, jijini Dar es Salaam, kimefanyika kikao kizito ambacho kimebeba mustakabali wa nishati nchini. Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi, amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Oman…
