Zijue faida nne za kutumia mabanda ya kisasa
Jambo moja la msingi katika ufugaji wa kuku ni mabanda ya kufugia na kutokana na ubora wake, mfugaji anaweza kupata mafanikio au hasara kwani kuku hukua na hutaga zaidi katika mazingira mazuri na salama. Siku hizi kuna mabanda ya kisasa yaliyo katika mfumo wa betri ambayo yanamrahisishia mfugaji kufuga katika hali ya usafi na salama….
