Kiwanda cha Stalick chaleta maendeleo Pwani
Kiwanda cha kuzalisha unga wa chokaa (ground calcium carbonate) cha Stalick, kimeendelea kuwa chachu ya maendeleo kwa jamii inayozunguka eneo hilo kwa kutoa ajira na kuchangia shughuli mbalimbali za kijamii. Akizungumza kupitia mahojiano maalum, Meneja wa kiwanda hicho kilichopo katika Kata ya Msoga, Wilaya ya Chalinze mkoani Pwani, Expeditor Mlanzi amesema kuwa zaidi ya asilimia…
