Waonywa kutoza ushuru chini ya tani moja
Wataalamu na wasimamizi wa mageti katika Halmashauri wametakiwa kuacha kutoza ushuru wakulima wanaosafirisha mazao chini ya tani moja ndani ya Halmashauri husika na kufuata utaratibu wa kiwango cha kutozo kisichozidi asilimia tatu ya mazao yaliyo chini ya Tani moja kwenda nje Halmashauri. Hayo yameelezwa na Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali…
