Elewa mambo ya msingi juu ya elimu ya fedha Tanzania pesatu.co.tz

Elewa mambo ya msingi juu ya elimu ya fedha Tanzania

Elimu ya fedha ni moja ya nyenzo zenye nguvu zaidi kwa kujenga uthabiti wa kifedha Tanzania. Kwa familia nyingi, changamoto si kupata kipato pekee bali kujua jinsi ya kukitumia kwa busara. Nchini kote, wafanyakazi, wanafunzi, wakulima, na wajasiriamali hujiuliza maswali yanayofanana. Ninawezaje kufanya kipato kidumu, ninawezaje kuweka akiba, na nichukue hatua gani kuhakikisha usalama wa…

Read More
Hatua za kufuata ili kufanikiwa kifedha pesatu.co.tz

Hatua za kufuata ili kufanikiwa kifedha

Ili kufanikiwa kifedha unahitaji kuwa na nidhamu ya fedha, mipango na juhudi endelevu juu ya fedha zako. Hizi ni hatua muhimu zitakazokuwezesha kuwa imara kiuchumi: Hatua ya kwanza ni kufanya tathmini hali yako ya kifedha ya sasa Fuatilia mapato na matumizi yako, hapa unaweza kutumia program kama Mint, YNAB, au jedwali rahisi (spreadsheet). Nyingine ni kuorodhesha madeni…

Read More
Kwa nini nahitaji akaunti ya benki. pesatu.com

Kwa nini nahitaji akaunti ya benki?

Umuhimu wa kuwa na akaunti ya benki Kutunza fedha zako benki ni salama zaidi kuliko kutunza fedha taslimu nyumbani. Mali zilizo kwenye benki ni ngumu kuibiwa ikilinganishwa na zile unazozitunza mwenyewe. Hata hivyo ni muhimu kuzingatia kuwa unapohifadhi fedha zako katika benki fulani, una uwezo wa kupata pesa zako kila wakati, hata ikiwa wateja wote…

Read More
Kukuza biashara ndogo inahitaji mpango mkakati mzuri pesatu.com

Fahamu jinsi ya kukuza biashara ndogo

Kukuza biashara ndogo inahitaji mpango mkakati mzuri, kuitangaza, usimamizi wa fedha, na kuzingatia wateja wako. Weka malengo na mpango yako Weka malengo mahususi (yaliyo wazi, yanayoweza kupimika na yanayowezekana. Hapa usiweke malengo ya vitu ambavyo havitaweza kutokea. Jua kile unachofanya na kiwe kinakutofautisha na wafanyabiashara wengine, weka sababu kwa nini wateja wanunue kwako na sio kwa wafanya biashara…

Read More