Wanawake kupata mafunzo na mitaji wezeshi

Benki ya CRDB imesaini makubaliano ya kushirikiana na taasisi za BUTA Vicoba Endelevu na Open Mind and Thoughts Organization (OMTO) kuwawezesha wanawake kupata mafunzo na mitaji wezeshi kupitia program ya IMBEJU. Akizungumza kwenye hafla ya makubaliano hayo, Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Bank Foundation, Tully Esther Mwambapa amezishukuru taasisi hizo kwa utayari wao wa kushirikiana na…

Read More

Benki ya CRDB yazindua programu ya mafunzo kwa wahitimu vyuo vikuu

Benki ya CRDB imezindua programu ya mafunzo ya uongozi kwa wahitimu wa vyuo vikuu “Graduate Development Program” inayolenga kuwaandaa na kuwajenga vijana kuwa wabobevu katika masuala ya benki na uongozi. Kwa kuanzia benki imechukua wahitimu 33 wa vyuo vikuu, watatu kutoka nchini Burundi, ambao wamekuwa wakipitishwa katika matawi, idara na vitengo mbalimbali kujifunza uendeshaji wa…

Read More