BoT kuanza kutumia mfumo wa riba utekelezaji sera ya fedha
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) inatarajiwa kuanza kutumia mfumo wa riba katika utekelezaji wa sera ya fedha kuanzia Januari 2024. Hatua hii inalenga kudhibiti mfumuko wa bei na kuwezesha ukuaji wa uchumi kwa kuzingatia mazingira ya kiuchumi ya ndani na nje. Akizungumza katika semina ya wahariri wa vyombo vya habari iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano…
